Msaada, ununuzi wa gari Hiace

Justine Marack

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
567
1,551
Salam wandugu!
Naomba kwa wale wenye uzoefua au ujuzi juu ya magari aina ya hiace wanisaidie kwa ushauri.
Nataka kuagiza gari toka Japan na niko katika hatua ya kuchagua gari katika mitandao.
Sasa ninamaswali yafuatayo:-
1. Nimeshauriwa kuchagua engine aina ya 2RZ kwamba ndio yenye nguvu na itamudu mikiki ya barabra za vumbi,milima na mashimo. Je, ni sahihi au kuna sifa zaiada?
2.Katika kuangalia ningependa Toyota ila nimeona kuna "Toyota hiace van" na "Toyota hiace commuter van". Je, nini tofauti na ipi bora kwa uimara?
3. Kuna aina(brand) nyingine za hiace kama Nissan, je ipi brand nzuri na kwa nini?
Nahitaji gari imara kwa uhakika wa biashara na ninaomba kushauriwa juu ya aina gani itanifaa kwa barbara za vumbi.
Natarajia msaada wenu kwa hayo na hata yale nisiyo yajua tafadhali nijuzeni.
Heshima zenu, Asanteni.
 
Mkuu, ulifanikiwa?

Back
Top Bottom