Nilifanikiwa kufuatilia ule uzi wa Wickerman kuhusiana na Unlocking MODEM ya E3372h-153 na kufikia kwenye option ya kuhitaji unlock codes. Kama kuna mtu ambaye anauza hizi unlock codes au kuniunganisha na mtu ili niweze kumpatie IMEI. Please check me via inbox.