wanajamii naombeni kama kuna anayefahamu daktari bingwa wa magonjwa ya pua au Frontal sinuses
kwa Bongo tafadhari.natanguliza shukrani kwa watakaochangia.
Huyu is the best. lakini kwa wengi wetu waswahili wengi ni ngumu,maana yeye anatibu kwa vyakula na matunda,lakini waswahili ukiwaambia kuleni machungwa na malimau wao watakuuliza kidonge cha vitamin C huna?. Ingawa nasikia nae bei zake si ndogo.
Unaweza kumuwahi, nasikia yuko kwenye promotion sasa hivi,kapunguza gaharama za tiba kwa asilimia 20.