Sheria ya kuvunja mkataba ni kutoa notisi ya mwezi mmoja kabla au kumlipa mwajiri mshahara wa mwezi 1, kwa mfanyakazi. Hiyo yako ya miezi 3 sijui umeipata wapi.Mshika mawili........... Hapo lazima akubali kufanya kazi hii anayofanya Sasa maana yupo ndani ya mkataba. Kama anataka kuvunja mkataba arejee vigezo na masharti ya kazi yake Mara nyingi huwa Ni kurudisha mshahara wa miezi mitatu mbeleni wanapotafuta mbadala wake.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mwambie akavunje kwa sheria yako wakati vipengele vya mkataba amepewa na vinamaelezo yake.Sheria ya kuvunja mkataba ni kutoa notisi ya mwezi mmoja kabla au kumlipa mwajiri mshahara wa mwezi 1, kwa mfanyakazi. Hiyo yako ya miezi 3 sijui umeipata wapi.
Na aliye probation ndani ya mwezi ni siku 7 tu au inategemea terms za mkataba wao.
Hakuna mahali popote kuna sheria ya kulipa miezi 3. Period.Mwambie akavunje kwa sheria yako wakati vipengele vya mkataba amepewa na vinamaelezo yake.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio yupo probation. Miezi mitatu.Akipata mwingine aangalie kwenye maslahi zaidi na mkataba mzuri.
Kuacha kazi mbona easy tu.... Si yupo probation huyo?
Akipata panono aandike barua ya kuresign asepe...
Weeee 😳 😳😳😳Yaliwai kutoke Jambo Kam Hilo nikapoteza. Ajira zote
Hata wewe unayo ya kwako. Omba Mungu atafungua milangoDaah watu na bahati zao
Mshahara wa Mwezi upi ?? Huu alioufanyia kazi (March) au April ambao ataamua kuacha kazi kama mwezi kuishaAtaandika barua ya kuacha kazi ndani ya masaa 24, baada ya hapo atatakiwa kuacha mshahara wa mwezi 1; wapo pia wanaotoka ajira ya kudumu kwenda mkataba, muhimu ni maslai tu
Hawawezi kumfanyia figisu za apa na pale.Aseme tu kashaitwa kwingine
Asante kwa Ushauri mzuri.Mh kwanza inabidi umuambie mdogo wako anielekeze namna gani na mimi nitapata kazi...