mkuu utapigwa na wajanja kiongozi unatuma pesa ya kuverify ndio imekula kwako wajanja ndio wanapiga kwa namna iyo apo hakuna cha kuverify wala nnNilifanya e-interview ya ifad miezi kadhaa iliyopita, jana wamenitumia email kwamba ni verify vyeti kupitia World Education Services (WES), kama kuna mtu anauzoefu na hili jambo naomba anisaidie maana naona gharama ni kubwa sasa sitaki nikurupukeView attachment 2349951
Kaa chonjo, utapigwa sasa hivi. Hakuna organization yoyote legit ambayo watakwambia wakutoze pesa ili ku verify vyeti vyako, achilia mbali UN Organization. Hao ni matapeli wa Ki-Kenya mkuu, kaa chonjo.Nilifanya e-interview ya ifad miezi kadhaa iliyopita, jana wamenitumia email kwamba ni verify vyeti kupitia World Education Services (WES), kama kuna mtu anauzoefu na hili jambo naomba anisaidie maana naona gharama ni kubwa sasa sitaki nikurupukeView attachment 2349951
Hakuna haja ya verification. Hao ni matapeli at work.Kwanza, jee ulifanya hiyo online interview or applicaation?
If yes, Nakushauri uende ofisi za IFAD Dar ukacheki kama message kama hiyo imetolewa kutoka kwao.
Usitume fedha kabla ya kufanya verification.



Baba hao ni wezi kaa mbaliNilifanya e-interview ya ifad miezi kadhaa iliyopita, jana wamenitumia email kwamba ni verify vyeti kupitia World Education Services (WES), kama kuna mtu anauzoefu na hili jambo naomba anisaidie maana naona gharama ni kubwa sasa sitaki nikurupukeView attachment 2349951
Natakiwa kulipia 157$Hiyo WES ipo kama unaenda kusoma Marekani huwa wanapenda ku certify vyeti vyako. Muhimu sijaona umeombwa hela, fanya utaratibu u certify.
Ingia Website ya WES au waulize waliokutumia email unafanya vipi kuthibitisha vyeti vyako.
Si unalipa Wes kwenye website yao. Wao ndio watafanya assessment ya vyeti vyako. Hebu tumia muda wako Google na YouTube uijue WES. usifanye malipo kwa watu bali WES wao ndio wata assess vyeti vyako.Natakiwa kulipia 157$