Msaada: Ukipigwa X-Ray mara tatu kifuani na kwenye goti inaweza kuathiri nguvu za kiume?

Oct 19, 2016
86
35
X ray ukipigwa Mara Tatu kwa mwanamme maeneo ya gotini na kifua uweza kuharibu mbegu za kiume au haina tatizo?watalamu kazi kwenu mnisaidie nijue
 
haina tatizo mi nikiwa mdogo nimepigwa zaidi ya mara4 na nina watoto wengi tu sshvi sijui labda kwa baadae
 
Hakuna majibu ya researcha za X-rays kwa wanaume kuthibitisha kusababisha defets kwa mbegubza kuime ila nachokijua ni kwamba inaweza kusababisha birth defects kwa mtoto aliyeko tumboni na ndo maana haishauriwi kupiga x-rays kama ww ni mjamzito means kwa wakina dada na na kina mama
 
Back
Top Bottom