Wadau nijipiga piga nikapata vijisenti kdg nataka kujenga sehem ya kujificha jua kuna hawa jamaa wanaitwahttp: //humannehomes.com/index.html wanajenga Nyumba kwa chupa halaf wanapiga plasta was cemen cement ikiwa imeshikiliwa na wire mesh.
Naomba kujua Kama kuna MTU ashawasikia na VP kuhusu ubora wa Nyumba zao. Me niliziona Kama za ulaya au marekan ingawa huko wanatumia mbao Ila hawa wanatumia Chuma.
Una nyumba ngapi? kama ndo ya kwanza kanunue tofali uanze kujenga kama unazo nyingi basi jenga hiyo ya chupa sijui chuma halafu utakuja kutupa feedback. weather condition ni factor kubwa sana kwenye ujenzi, usine ntumba ya mbao ulaya nawe ukataka kuijenga bongo.
nadhani ukiingia kwenye website yao ya www.humanehomes.com utaona contact details zao,if your serious customer watakupa details.i think they ship worldwide, kama sio worldwide with africa since wapo south africa.