Nyie mnaosema utumie ant biotic yyte utapona mmewahi kuugua huo ugonjwa au mnaiskia tu,huu igonjwa ni hatari sana zaidi ya mnavodhani, watu wanalemaa na kupoteza uhai sababu ya ugonjqa huu,ni sumbufu kweli ugonjwa huu na wengi wapona kwa dawa za jadi napo unatakiwa uuwahi sana.
kuna rafiki yangu nusura alemae ulimchimba mkono balaa katibiwa miezi mitatu hospitali,dawa zote mlotaja hapo juu hutumika ila lazimabuuwahi sana,na pia wengine hufunga kifuko cha chumvi kwa muda mrefu,ukichelewa ni balaa kubwa sana unaoza mkuu.