ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,006
- 29,516
Ni vema kama ungetuma majibu Maana kuishiwa damu siku hiyo hiyo haiwezi kuwa Parasitic Infection wala any infestation kama wengi wanavyodhani kuwa ni Nutrients deffiecient...Kuna dada alijifungua mtoto miezi mitano iliyo pita sasa ameshikwa na ugonjwa wa kupungukiwa damu sana kila akienda hospital anaingezewa damu lakini siku iyoiyo inakeisha tena na madaktari wamempima kila kitu haonekani na tatizo lolote sasa kwann damu inakauka tu??
Haitasaidia Kitu mkuu Hiyo serious Issue kuliko unavyofikiraHuku akiendelea na dawa wahi haraka kwenye maombi, tafuta waombaji wa kweli hapo wamuombee
Poleni.Kuna dada alijifungua mtoto miezi mitano iliyo pita sasa ameshikwa na ugonjwa wa kupungukiwa damu sana kila akienda hospital anaingezewa damu lakini siku iyoiyo inakeisha tena na madaktari wamempima kila kitu haonekani na tatizo lolote sasa kwann damu inakauka tu??
Zaidi ya kuwa na vifaa bora vya maabara NSK haina ubora wowote. Haina madaktari wazuri wala wataalam wabobezi wa afya. Mtoe ndugu yako hapo kabla hajafariki.Hospital anayotibiwa ni NSK hospital bora kabisa naya gharama haswa
Sometimes unaweza kuambiwa huna tatizo kwa kuangalia Hali yako wewe mwenyewe na utayari wa kupokea majibu inaitwa placebo hiyo ....Jamaa amesema wamekwenda hospitali zaidi ya 5 na kote wanapata jibu lilelile, maana yake ni kuwa, wameambiwa ana tatizo gani, sio kukisia tena.
Sijui kweli?Inabidi amkabidhi BWANA YESU shida zake, Yeye huwa hashindwi na jambo lolote.
Rudi kasome post vizurZaidi ya kuwa na vifaa bora vya maabara NSK haina ubora wowote. Haina madaktari wazuri wala wataalam wabobezi wa afya. Mtoe ndugu yako hapo kabla hajafariki.
Hao NSK wenyewe wakiona hali haieleweki watampa rufaa aende Mount Meru aua KCMC. Jiulize kwa nini wampe rufaa na siyo wakomae na mgonjwa wako hadi mwisho. Jiongeze kabla haujalia
Hii haihitaji daktari bingwa kujua kuna tatizo kubwa huenda kuna vitu wanamfichaJe huyo daktari aliyemuona ni daktari bingwa wa magonjwa ya damu?
Ninaimani na wewe DR mambo AMP lkn hao madaktari wote kutoka hospital tano wanamfichađź‘€?hata hivyo kama ulivyoshauri jamaa aweke majibu mezani watu washauri cha kufanya ikiwezekana twende upande wa pili chapHii haihitaji daktari bingwa kujua kuna tatizo kubwa huenda kuna vitu wanamficha
Yeah mkuu, Ethically (Wote wanafata Taratibu zote za Chronic illness Huenda kama anayo)Ninaimani na wewe DR mambo AMP lkn hao madaktari wote kutoka hospital tano wanamfichađź‘€?hata hivyo kama ulivyoshauri jamaa aweke majibu mezani watu washauri cha kufanya ikiwezekana twende upande wa pili chap
atakuwa ana maradhi ya nguvu ya giza nione kwa wakati wako ili niweze kumtibia maradhi yakeKuna dada alijifungua mtoto miezi mitano iliyopita sasa ameshikwa na ugonjwa wa kupungukiwa damu sana kila akienda hospitali anaingiziwa damu lakini siku hiyo hiyo inaisha tena na madaktari wamempima kila kitu haonekani na tatizo lolote sasa.
Kwanini damu inakauka tu?