Msaada: Ugonjwa gani huu wa ngozi

Mnyakyusa Ipinda

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2020
Posts
439
Reaction score
1,526
Hello wakuu, hasa madaktari, msaada wenu wa ushauri.

My friend amenionesha huu ugonjwa wa ngozi kwa picha akauliza kwa nini imetokea hivyo nikashindwa kujua shida ni nini na afanye nini ili hali hiyo iondoke, anawashwa sometimes mgongoni na anajikuna inatokea kama mbabuko i dont know ukurutu au fungus au mba au ni nini, na zimeanza kusambaa kidogo kidogo.

NB: Yuko mahali kikazi mbali na mji thats why hajapata nafasi ya kwenda hospital.

Ahsanteni.
Sky Eclat


 
Ok sawa, for now anaweza kutumia nini as yuko vijijini huko kwenye survey zao until Next monday ndo wanarudi town ili hali isizidi.
 
Pole sana kijana.
Pambana na hiyo kazi ukirudi mjini umwone daktari haraka.

Kwa maelezo yako, mgonjwa ni wewe.
Sijui ni kwanini vijana wengi wa kitanzania hawajiamini...hapa unatumia jina bandia na bado unaogopa kiasi cha kutafuta mtu bandia wa kubeba ugonjwa wako!?
 
ok mkuu. ataenda pia hospital akirudi.
 
ok mkuu. ataenda pia hospital akirudi.
 
Hakika hii nichangamoto kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…