Habari za jioni ndugu wana JF. Naomba kuuliza iwapo inaruhusiwa kisheria kufuga kanga kama tunavyofuga kuku? Je kanga siyo nyara za serikali kama wanyama/ndege pori wengine?
Wandugu kimsingi nataka kujua iwapo ufugaji wa kanga (ambao kwa asili ni ndege pori) unaruhusiwa kisheria. Hii ni muhimu kwa sababu wananchi wengi (na mimi nikiwemo) tunafuga kanga na inawezekana tunafanya hivyo kutokana na kutojua sheria na tunaweza kuwa tunazivunja kwa kuwa na nyara za serikali bila kibali.
Duu naona jamaa wote mme-mute. Ngoja nirudi kwenye kukwaa la siasa nikapige poorojo za kisiasa tu. Kule kuna majamaa huwa yanajibu hata hoja za kupuuzi.
Wandugu kimsingi nataka kujua iwapo ufugaji wa kanga (ambao kwa asili ni ndege pori) unaruhusiwa kisheria. Hii ni muhimu kwa sababu wananchi wengi (na mimi nikiwemo) tunafuga kanga na inawezekana tunafanya hivyo kutokana na kutojua sheria na tunaweza kuwa tunazivunja kwa kuwa na nyara za serikali bila kibali.
Jaman naomba msaada wenu..,
Katka ufugaj wa kanga
He, kanga anataga Mara ngap kwa mwaka na maxmum ni mayai
mangapi kwa awamu .moja..
Na kuhusu magonjwa na tiba ama chanjo ikoje..