Umechaguliwa na umeshathibitishwa, kwa hiyo anza maandaliziHabari wanajukwaa,mimi ni muhitimu wa diploma ya ualimu nimeapply udsm kwa round ya pili sasa hivi nimeingia kwenye profile yangu naona wameandik Hivi
STATUS : Successfully selected on : Bachelor of Arts with Education (UD012)
RESULTS COMMENTS>>>Your admission offer to this institution is CONFIRMED !.
Below is detailed selection results information. To get information about how the selection process was performed, click
Maana yake ni nini?nimeshachaguliwa au nisubiri mpaka tcu watoe list yao
Mpe na sababu kwanini asome hizo na siyo hiyo aliyochagua yeye, je inashida gani hyo ?Yani mzee kweli kabisa unaenda kusoma Education tena Arts??? Umeshindwa kusoma hata Business Administration???? Au procurement, Hata Marketing au HR, Logistics, hata coz za kilimo??
Sina sababu ila kusoma ualimu enzi hiziiii daaaahMpe na sababu kwanini asome hizo na siyo hiyo aliyochagua yeye, je inashida gani hyo ?
kusoma ualimu enzi kuna tatizo gani mkuu maana inaweza kuwa ni mwalimu yuko kwenye system so anaenda kuendeleza pale alipoishia dplm.Sina sababu ila kusoma ualimu enzi hiziiii daaaah
unajua kila mtu ana dreams zake, afu ana safari ya 3 yrs kusoma so mpaka kufikia 2021 huenda mambo yakawa yamebadilika tofauti na sasa. so kijana aende tu akakomae na shuleSina sababu ila kusoma ualimu enzi hiziiii daaaah