kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,497
- 5,197
mzee haiwezekani, pale Cive hapawezi , tena mwambie aache Tamaa atasomaje HGE akasome CIS udom, aisee aende uko architecture CIS atadisco asubuhi tyu, mzee pale physics, math zipande maana kuna namba ,zinapigwaKwa heshima kubwa kabisa naombeni msaada wenu mdogo wangu kachaguliwa kusoma architecture mwaka huu (KWA SABABU MAALUM SITAJI JINA LA CHUO) sasa kwa bahat mbaya kapata taarifa kuwa kuna mtiti sana wa physics (awal alijua ni ile ya kiolevel olevel) sasa Dogo anahofu kudisco . KASOMA HGE NA KAFAULU ANA DIVISION 1 POINT 7 NA O LEVEL ALIKUWA NA DIVISION 2 MASOMO YA SCIENCE ALIPATA PHYSCIS B NA CHEMISTRY B+ , MATHENATICS B+
DOGO ANATAKA KUHAMIA UDOM KUSOMA BACHELOR OF SCIENCE IN COMPUTER & INFORMATION SECURITY
Sasa naomben msaada wenu wa kimawazo kujua vizur hii koz katika suala zima la ajira na hata akitaka kujiari hii koz inaweza kumfaa kwel katika ushindan wa soko la ajira katika ya watu wa IT, computer science
Nisadien kupata vizur taarifa za hiz koz .
Nashukuru sana natanguliza asante
Samahani sijakuelewa vizur fafanua vizur . kwahiyo hiyo kozi ni tait zaid kuliko architecture ila pia Dogo hesabu yupo vizur sio mchovumzee haiwezekani, pale Cive hapawezi , tena mwambie aache Tamaa atasomaje HGE akasome CIS udom, aisee aende uko architecture CIS atadisco asubuhi tyu, mzee pale physics, math zipande maana kuna namba ,zinapigwa
hana vigezo vya kusoma CIS mzee ,mpaka upige PCM , PGM ,au EGM..Samahani sijakuelewa vizur fafanua vizur . kwahiyo hiyo kozi ni tait zaid kuliko architecture ila pia Dogo hesabu yupo vizur sio mchovu
Acha kumtisha mwenzakomzee haiwezekani, pale Cive hapawezi , tena mwambie aache Tamaa atasomaje HGE akasome CIS udom, aisee aende uko architecture CIS atadisco asubuhi tyu, mzee pale physics, math zipande maana kuna namba ,zinapigwa
hatishwi mtu miye nilikuwapo pande za INFO mzee naijua CIS , watamla kichwa ..kijana akasome course zingine tuAcha kumtisha mwenzako
hana vigezo vya kusoma CIS mzee ,mpaka upige PCM , PGM ,au EGM..
Pamoja na hayo hebu nipe uzoefu kwenye suala la mfumo mzima wa ajira na ushindani wake kwenye soko la ajira upoje huo ili nijuehatishwi mtu miye nilikuwapo pande za INFO mzee naijua CIS , watamla kichwa ..kijana akasome course zingine tu
soma vizuri wanakwambia MATH NA MOJA KATI YA HYO MASOMO ....MFANO PHY NA MATH, GEO NA MATH ,CHEMISTY NA MATH AMA ECONOMICS NA MATH ILA SIYO GEO NA ECONOMICS MKUU, LAZIMA UPIGE MATHView attachment 423193
Kwa upande wa vigezo wanahitaji two principal passes in mathematics and physics/geography/chemistry/Economics
ni watu wanaohitajika sana mzee hasa kwenye ulimwengu huu wa cyber sercurityPamoja na hayo hebu nipe uzoefu kwenye suala la mfumo mzima wa ajira na ushindani wake kwenye soko la ajira upoje huo ili nijue
Nimekuelewa Nina madogo matwins sasa Mkubwa anahitaji kumfuata mdogo wake ye kaenda udom economics& statics (huyu alisoma EGM) NINA ULIZA ILI NIJUE CHA KUWASHAURI WOTEsoma vizuri wanakwambia MATH NA MOJA KATI YA HYO MASOMO ....MFANO PHY NA MATH, GEO NA MATH ,CHEMISTY NA MATH AMA ECONOMICS NA MATH ILA SIYO GEO NA ECONOMICS MKUU, LAZIMA UPIGE MATH
Kwahiyo nambie kuhusu mambo ya ajira na soko lake kiujumla ndiyo shida yangu kubwa zaidsoma vizuri wanakwambia MATH NA MOJA KATI YA HYO MASOMO ....MFANO PHY NA MATH, GEO NA MATH ,CHEMISTY NA MATH AMA ECONOMICS NA MATH ILA SIYO GEO NA ECONOMICS MKUU, LAZIMA UPIGE MATH
soko lake ni kubwaaa saana, me ningejua mapema kabla ya kufika chuoni ningeisoma, yaani ajira yake nje njee tena unapiga ndefu na kujiajiri simple sana.Kwahiyo nambie kuhusu mambo ya ajira na soko lake kiujumla ndiyo shida yangu kubwa zaid
Poa mkuu asante kwa taarifasoko lake ni kubwaaa saana, me ningejua mapema kabla ya kufika chuoni ningeisoma, yaani ajira yake nje njee tena unapiga ndefu na kujiajiri simple sana.
Kama yupo vizuri kwa hesabu unaogopa nini? Aende akasome acha uoga, hesabu za kawaida tuuu, si atafundishwa?Samahani sijakuelewa vizur fafanua vizur . kwahiyo hiyo kozi ni tait zaid kuliko architecture ila pia Dogo hesabu yupo vizur sio mchovu
Kwan jamaa c kasoma BAMHahahahaaa lazima alambwe akina Anatory hawcheki na kima.