Msaada uchimbaji wa mashimo ya vyoo

Msaada uchimbaji wa mashimo ya vyoo

DullyM

Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
72
Reaction score
18
Habari wakuu,
kama kichwa cha habari kinavyoeleza. naombeni kama kuna mafundi wanajulikana wa kuchimba shimo la choo.
1.) site ipo kigamboni
2) kazi inahitajika kufanyika mwezi wa kwanza
3) uwezekano wa kuweka kambi upo.
kutoka kwa fundi.
1) ulete kazi ulizofanya kwa njia ya kuweka picha za ufundi uliofanyika
2) ufafanue bei za vifaa vitakavyohitajika na gharama zake
3) uweke bei ya kufanya kazi (yaani mshahara wako)
4) utoe muda utakaotumika kukamilisha zoezi hili
5) weka namba za simu. (hii usiweke kama hujakamilisha yaliyotajwa hapo juu.
6) maswali na majibu yote ni hapa hadharani tu. private message ni pale tu nitakapoamua tunafanya kazi na wewe.
7) napenda kutanguliza shukrani za dhati na kuwatakia shughuli njema.
 
ni hili hili la duara na la box unaongelea! maana kama ni hilo si uangalie tu la jirani na kupata recommendation, au ndo tunatafuta wafanyakazi wa kaunda suti!
 
Habari wakuu,
kama kichwa cha habari kinavyoeleza. naombeni kama kuna mafundi wanajulikana wa kuchimba shimo la choo.
1.) site ipo kigamboni
2) kazi inahitajika kufanyika mwezi wa kwanza
3) uwezekano wa kuweka kambi upo.
kutoka kwa fundi.
1) ulete kazi ulizofanya kwa njia ya kuweka picha za ufundi uliofanyika
2) ufafanue bei za vifaa vitakavyohitajika na gharama zake
3) uweke bei ya kufanya kazi (yaani mshahara wako)
4) utoe muda utakaotumika kukamilisha zoezi hili
5) weka namba za simu. (hii usiweke kama hujakamilisha yaliyotajwa hapo juu.
6) maswali na majibu yote ni hapa hadharani tu. private message ni pale tu nitakapoamua tunafanya kazi na wewe.
7) napenda kutanguliza shukrani za dhati na kuwatakia shughuli njema.
kigambon sehem gan namaanisha eneo lipi toangoma mjimwema kiabada mwembe mtevu au wapi
 
Back
Top Bottom