Msaada, TV yangu imezima ghafla

Ungeongea na maeneo ulipo naamini ingesaidia sana kupata msaada.
Ok kwa kuanzia:
1. Inatumia power supply ya ndani au external(adapter)?
2. Ina warranty?
Tatu ukinijibu hayo nitaangalia namna ya kukupa msaada ila pia kwenye power supply kunakuwa na fuse pia.

"رمضان كريم وصوم مقبول"
 
Kama imezima ghafla tafadhali iwashe ghafla itawaka na kuendelea na kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole naiona ni LG OG kabisa'
Ama tulinunua used?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama taa nyekundu(standby light) haiwaki embu jaribu mambo yafuatayo: tazama power cable au adapter yako kama imeunganishwa vizuri kwenye switch socket na kama unatumia TV guard jaribu kuichomoa na kuunganisha moja kwa moja kwenye socket ikishindikana chomoa waya ya umeme toka kwenye socket kisha bonyeza power button na ishikilie kwa sekunde kama 10 iwapo itashindika njia hii ya ku reset memory basi njia ya kuchomeka na kuchomoa TV waya wa umeme kwenye socket yako au washa zima ya switch socket itumike X 4 ndani ya sekunde 3 ikishindikana chomoa waya wa umeme iache hata kwa siku 4 kisha chomeka tena ikishindikana kabisa basi Fanya mpango wa kuwasiliana na mtaalam wa Electronics.Pole kwa lock down

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…