Poleee,
Mbona hizi case za LG zimeongezeka...
Mkuu kama haiwaki kabisa h
nahisi ni suala la kupeleka kwa fundi kabisa, mafundi wa online ni endapo na masuala software/settings
Kumbe kwa LG ni vyema ukawa na TV Guard. Basi TV zao nyanya sana.Pole ndugu hizi TV ni nzuri ila ni delicate pia kwenye kukumbana na nguvu ya umeme uliozidi kidogo. Mimi ya kwangu imeungua Kioo hadi sasa nimeiweka tu mana huko dukani Kioo naambiwa laki mbili na nusu,na vioo used havipatikani kirahisi. Yaweza kuwa kuna kitu/ vitu vimeungua na ukizingatia hutumii stabilizer kama ilivyokuwa kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa nduguKumbe kwa LG ni vyema ukawa na TV Guard. Basi TV zao nyanya sana.
Ulitafuta Kioo au ulifanyaje?Mkuu hiyo tayari ata yangu pia ilikufa kwa namna hiyo kupeleka kwa fundi nikaambiwa kioo kimekufa.
Jipange uchukue nyingine usisahau kutumia stablizer
Kioo bei kali na havipatikani ikabidi niitunze ninunue ingne
Haina external adapterHiyo TV yako ina internal power supply au External (Adopter)
Emaphakadeni