Msaada : TV INCHES 55 INAHITAJIKA .

Msaada : TV INCHES 55 INAHITAJIKA .

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,110
Reaction score
2,786
Hello Wana GT .Natumaini mnaendelea vizuri na mihangaiko yenu ya Kila siku vizuri, mimi niko mkoa wa Kilimanjaro maeneo ya Kia nahitaji msaada kwa anayejua Brand nzuri ya TV INCHES 55 SMART TV AMBAZO BEI ZAKE SIO ZILE ZA KUUA KAMPUNI ,Asante sana na muwe na siku njema
IMG-20190224-WA0012.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina Sumsung 42 na 55
zipo Zanzbar
Bei poa sana
Ila usafiri juu yako
 
Sina nia ya kukukatisha tamaa au kuharibu biashara ya mtu lakini nakutahadharisha sana uwe makini! Uwe makini sana sana kwani ni wengi wamelizwa kwenye mitandao. Usitume fedha kwa mtu ambaye humjui au ukituma chukua tahadhari zote.

Ushauri wa kuzingatia huu...
Sio tu kwa wanunuaji hata sisi wauzaji tunapaswa kua makini sana tushalizwa sana huku tuma mzigo nikipokea nakutumia hela.

Namna nzuri ni kua na middle men mnunuaji anayemuamini aje akague mzigo akiridhika alipe achukue chake
 
Ni kweli kabisa. Hata muuzaji naye awe macho.
 
Back
Top Bottom