Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 231
HINT: Sio smart TV built in eye scroller, ama ati inistukie nikiwa nimesinzia ijizime, la hasha.
Ni Tatung, chogo 21". imeanza huu mchezo ina kama wiki ya 4 sasa. Inapokuwa on, inaweza kujizima ghafla, na baada ya dakika kumi inakawaka yenyewe. Kujizima kwake ni completely off, not even standby, ila nikiibonda kidogo inawaka, sometimes inabidi nikaze mkono, loh!
Diagnosis ya wataalamu tafadhali.