kwenye remote bonyeza sehemu ilioandikwa input au source au kinachofanania utaona zinakuja option nyingi kama pc, HDMI, AV etc chagua sehemu ambayo umechomeka waya husika.
-kama ni king'amuzi na umetumia waya wa HDMI chagua HDMI, kama ni zile waya nyekundu njano na nyeupe chagua AV.