Bwana Chiniko
Member
- Jul 18, 2016
- 20
- 9
umewashirikisha hao unachouliza hapa?Nb: Afrika kusini nina ndugu, jamaa na marafiki wengi wanaishi huko, hivyo sehemu yakufikia sio shida.
Nawasilisha kwenu.
Wenyewe wanajua nafahamu taratibu zote hizo, isitoshe nikiwambia utani utakuwa mwingi sana, maana nawaelewa hawa jamaa zangu, itakuwa wimbo wa Taifa.umewashirikisha hao unachouliza hapa?
Naomba unipatie link yake mkuutafuta uzi humu umeaandikwa ushamba mzigo siku ya kwanza kupanda ndege
mi mwenyewe nitautafuta kazi ambayo siitakiNaomba unipatie link yake mkuu
umesema una ndugu na jamaa wengi sana...Ina maana waote watakudhihaki?Wenyewe wanajua nafahamu taratibu zote hizo, isitoshe nikiwambia utani utakuwa mwingi sana, maana nawaelewa hawa jamaa zangu, itakuwa wimbo wa Taifa.
Angalia usisafiri muda wa kazi , utakamatwa na policcm .Heshima kwenu wakubwa zangu wa jukwaa hill na marahaba kwa wale wote niliowatangulia kuliona jua.
Mimi na mke wangu tumefunga ndoa takatifu wiki moja iliyopita, hivyo tukapanga tukatembee nchini Afrika kusini.
Maana tangu kuzaliwa kwetu hatujawahi fika katika nchi hiyo na sio siri wote tunahamu ya kwenda kutoa ushamba.
Ifahamike kwamba sio mimi wala mke wangu aliyewahi kupanda ndege tangu kuzaliwa kwetu.
Nahitaji kuelekezwa taratibu za ukataji tiketi, kupata passport ya kusafiria na namna ya kuingia airport kupanda chombo kuelekea SA.
Ili tusionekane washamba wa mambo ya kidigital.
Nb: Afrika kusini nina ndugu, jamaa na marafiki wengi wanaishi huko, hivyo sehemu yakufikia sio shida.
Nawasilisha kwenu.
Hakikisha mko na Pasport valid, inategemea unakata ticket ndege gan ila taratibu za airport ni zile zile kikubwa ubebe mzigo kulingana na kilo utazopewa kwenye ticket maana ukizidisha hapo huo upepo utaotolewa hadi mood itaisha, kuhusu taratibu sasa ukishafika airport kila kitu utapewa maelezo kikubwa kuwa makini na usijitie ujuaji sana ukiona mazingira huyaelewi kaa mahali anza kusoma vibao kishkaji ramani zikigoma unaweza tu kuuliza kiakili nafkiri wewe ni mjanja.Heshima kwenu wakubwa zangu wa jukwaa hill na marahaba kwa wale wote niliowatangulia kuliona jua.
Mimi na mke wangu tumefunga ndoa takatifu wiki moja iliyopita, hivyo tukapanga tukatembee nchini Afrika kusini.
Maana tangu kuzaliwa kwetu hatujawahi fika katika nchi hiyo na sio siri wote tunahamu ya kwenda kutoa ushamba.
Ifahamike kwamba sio mimi wala mke wangu aliyewahi kupanda ndege tangu kuzaliwa kwetu.
Nahitaji kuelekezwa taratibu za ukataji tiketi, kupata passport ya kusafiria na namna ya kuingia airport kupanda chombo kuelekea SA.
Ili tusionekane washamba wa mambo ya kidigital.
Nb: Afrika kusini nina ndugu, jamaa na marafiki wengi wanaishi huko, hivyo sehemu yakufikia sio shida.
Nawasilisha kwenu.
Teh teh teh unaogopa kutaniwaWenyewe wanajua nafahamu taratibu zote hizo, isitoshe nikiwambia utani utakuwa mwingi sana, maana nawaelewa hawa jamaa zangu, itakuwa wimbo wa Taifa.