Msaada tutani

amina dada asante kwa ushauri.
 
Huu ushauri nimeupenda sana. U must be genius trust me!!
 
ni wachache wanaosema "tunapendana" na wakafunga ndoa, ndoa nyingi zinakua ni kama suprise kwa wote....wanaopendana wanaachana thn unakutana na wako wa maisha....sisi tunapanga Mungu anaamua
 
ni wachache wanaosema "tunapendana" na wakafunga ndoa, ndoa nyingi zinakua ni kama suprise kwa wote....wanaopendana wanaachana thn unakutana na wako wa maisha....sisi tunapanga Mungu anaamua
ni kweli dada yangu! mungu atasaidia kuamua.
 
waliosema "penda ujapopendwa, utajapenda usipopendwa" hawakukosea. Mwanamke anauwezo wa kujifunza kupenda na kwa wewe ambae unakutana na anaekupenda anaweza kukufanyia vitavyosababsha umpende. Japo mwanzo wa namba ni 1 ila atakaeanza kuhesabia 20 atafka 100 mapema zaid.
 
lolz! ok nimekupata saana.
 
Hakuna raha duniani kuolewa na Mwanaume ambaye amekupenda unaweza kuona kama dunia yote ni ya kwako, nina maana gani kusema hivyo, utakuwa humpendi mwanzo lakini jinsi atavyokuwa anakucare na kukujali, kukuthamini na kukupenda hata wewe moyo wako utabadilika na kumpenda na mkaishi maisha mazuri sana na mkazaa watoto wazuri wenye upendo, mimi ni mfano mzuri sana, kiasi ambacho nafurahia maisha yangu ya ndoa.
 
Lisa njoo ujibu hili swali kuna siku nishawahi kusoma maelezo yako ukitolea ufafanuzi swali mithili ya hili...

Nimekwisha mjibu, kuwa hakuna raha katika dunia hii kama kupendwa. wakati wote unakuwa na raha na furaha ndani ya moyo wako, na afadhali upendwe wewe na mwanaume kuliko mwanamke ampende mwanaume, huwa wanateseka sana. kwa hiyo ni juu yake kupanga ni kuchagua, apendwe au apende.
 
Asa si utakuja kukumbushia kwa umpendaye...mwenyewe unatengeneza mazingira ya kuwa ka small house,,,,,,lol
 
Hewalaaa...

Umemjibu kama ambavyo nilikuwa ninatarajia na nilipenda maneno hayo uliyomshauri ayasome kutoka kwa mwanamke mwenzake...
 
Hewalaaa...

Umemjibu kama ambavyo nilikuwa ninatarajia na nilipenda maneno hayo uliyomshauri ayasome kutoka kwa mwanamke mwenzake...
Ahaaa ngoja nami nianze kuwachuja kati ya hawa wanaonipenda...Kwahio yule ninaempenda atanitesa ehhhh?I thought raha kupendana wote!!!
 
Ahaaa ngoja nami nianze kuwachuja kati ya hawa wanaonipenda...Kwahio yule ninaempenda atanitesa ehhhh?I thought raha kupendana wote!!!

I don't know dearest...

Huwa naamini katika kupenda na kupendwa kwa wakati mmoja, ndiyo maana sikuandika chochote.

Lakini wapo wanamama wanaoamini kuwa mwanaume akikupenda basi mwanamke utajifunza kupenda ndiyo maana nikamuita huyo rafiki yangu ashuhudie.
 
nami hii inanicontract saana wish iwe two way traffic haya mambo ya mm kuwa simpendi daah! nways ngoja niko kuchuja bado.
 
Asa si utakuja kukumbushia kwa umpendaye...mwenyewe unatengeneza mazingira ya kuwa ka small house,,,,,,lol

si ndio maana niko naomba ushaurii........ mpaka hapo ujanishauri ss uko unaniweka kunako situation ngumu zaid.
 
asante lisa kwa ushauri wako.
 
si ndio maana niko naomba ushaurii........ mpaka hapo ujanishauri ss uko unaniweka kunako situation ngumu zaid.
obsesd dear....ushauri wangu ndo upo kwenye mfumo wa swali lol...anyway usiolewe tu eti kwa sababu unamkomoa asiyekupenda......
 
Last edited by a moderator:

They disgust you?
You can even puke?
Love is patient, kind. It does not envy, it doesn't boast and it's not proud. It is not self-seeking neither is it easily angered. It keeps no record of wrongs. Love protects, always trusts and hopes. LOVE NEVER FAILS!

I am afraid you didn't love "them ", you rather wanted to fulfill your desires that's why at the moment you can "puke. "...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…