Habari za wakati huu waungwana?
Naomba muongozo na ushauri kwa ajili ya jamaa yangu anahitaji kuuza miti yake ya pine iliyopo kwenye shamba la ukubwa wa hekari moja na ina umri wa miaka 5.
Muongozo anaohitaji ni juu ya estimation ya price range yaani anaweza pata bei gani hapo na kama itawezekana kupata mteja pia itakua safi.
Shamba lipo njombe.
Nawasilisha.