M mangare 1st Member Joined Jul 16, 2017 Posts 30 Reaction score 40 Jul 7, 2018 #1 Habari za leo wakuu. Naomba kama kuna food specialist/ nutritionist yeyote humu aliyewahi kuandika barua ya kiapo ya kusimamia uzalishaji katika kiwanda cha chakula kwenda TFDA na ikakubaliwa anisaidie format. Natanguliza shukrani zangu
Habari za leo wakuu. Naomba kama kuna food specialist/ nutritionist yeyote humu aliyewahi kuandika barua ya kiapo ya kusimamia uzalishaji katika kiwanda cha chakula kwenda TFDA na ikakubaliwa anisaidie format. Natanguliza shukrani zangu