Kajirutaluka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 1,223
- 998
Fungua Hi Manager kuna kitu kama Data Limitation ebu jaribu kuweka offWakuu nna kimeo changu tecno phantom z mini ilikuwa inafanya kazi vizuri na internet. Sasa juzi hapa baadhi ya apps zinagoma kuconnect kwenye internet kama gmail na google browser. Whatsapp na telegram inaconnect vizuri. Je nifanyeje nikwamuke??
Mbona hiyo icon ya hi manager sijawahi ionaFungua Hi Manager kuna kitu kama Data Limitation ebu jaribu kuweka off
Nimefanya hivyo lakini badoClick button ya menu ukifika hapo ile yenye vimstari vitatu (kumbuka simu nyingi zina button tatu ya Back, Home ,na Menu) sasa wewe click menu
Sijabadili line. Kwenye apn type nimetick defaulthukubadili line? pengine una setting za wap, hizo huwa haziconect kwenye apps za google,
nenda setting halafu more network halafu mobile network halafu acess point angalia hapo kuna setting ipi na ipi? hakuna wap?
Application manager hapo sijakupata. Nimeingia kwenye setting then kuna apps tu ambayo bila shaka itakuwa ndio ina manage. Apps zote nime update.Kuna kitu kinaitwa "Google Play Services" . Hii ikiwa DISABLED/OUTDATES huwa inaleta shida kwenye built-apps nyingii kwenye simu za android
Sasa hebu jaribu na wew kuitafuta hii kitu kwenye application manager halafu nenda kaiUPDATE au kama ilikua disabled basii ENABLE halafu RESTART simu yako huone
[HASHTAG]#fdback[/HASHTAG] muhimu mkuu