Msaada tutani

grand casual

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2014
Posts
255
Reaction score
161
Habari zenu wandugu, Nina simu yangu aina ya TECNO H6 nilii-upgrade kutoka kit kat mpaka lollipop 5.1.1 tatizo lililopo hii OS haisomi laini yyote mwenye maujanja aokoe hili jahazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…