telecom hapana sasa mambo ya analog yanatokomea soon hata hapo tz by 2012-2015 itakuwa ni digital kwenda mbele(ref: tido). hiyo field labda akipata chance china,japan asome artificial intelligence: neuro networks,nano tech etc ndio zitabamba lkn hiyo akimaliza tu 4th yr atarudi mtaani, wako wapi mafundi wa ttcl
umeme ni principles tu ipo na itaendelea kuwepo haikwepeki, afanye umeme