REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,164
- 11,264
habari zenu wadau?
poleni na majukumu
nilikuwa naomba kuuliza mahali panapotolewa kozi ya uuzaji wa madawa ya mifugo
naitaji kujua
gharama zake
sifa za msomaji
na tasisi inayotoa mafunzo
asanteni.
poleni na majukumu
nilikuwa naomba kuuliza mahali panapotolewa kozi ya uuzaji wa madawa ya mifugo
naitaji kujua
gharama zake
sifa za msomaji
na tasisi inayotoa mafunzo
asanteni.