Je, hicho kibanda cha chips ni chako binafsi au umepanga?Wanabodi jana nimeenda TRA kwenda kufanyiwa tathmini ili nilipe kodi kwa ajili ya biashara yangu ndogo ya banda la chips, lakini nimeshangazwa baada ya kufanya hesabu zao wakaniandikia nilipie na Withholding Tax..! Naomba kufahamishwa kwanni wananitaka kufanya malipo hayo. Kwani navojua malipo kama haya hufanywa katika taasisi ambazo hutoa kazi za consultation nk.
NB; niliomba maelezo lakini hakuna majibu ya maana nliyopewa kutoka kwa wahusika
Msaada wenu tafadhali....Nimeambatanisha na picha ya fomu husika
View attachment 1057876
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kibanda umekodishwa na mtu unapaswa kulipa WHT ambayo ni 10% ya gharama ya pango na stamp duty 1%. Kama unalipa 50,000 kwa mwezi mwenye kibanda mpe 45,000 na 5,000 peleka TRA ndio WHT. 1% ambayo ni 450 unailipa wewe TRA.Wanabodi jana nimeenda TRA kwenda kufanyiwa tathmini ili nilipe kodi kwa ajili ya biashara yangu ndogo ya banda la chips, lakini nimeshangazwa baada ya kufanya hesabu zao wakaniandikia nilipie na Withholding Tax..! Naomba kufahamishwa kwanni wananitaka kufanya malipo hayo. Kwani navojua malipo kama haya hufanywa katika taasisi ambazo hutoa kazi za consultation nk.
NB; niliomba maelezo lakini hakuna majibu ya maana nliyopewa kutoka kwa wahusika
Msaada wenu tafadhali....Nimeambatanisha na picha ya fomu husika
View attachment 1057876
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu uko vizuri; mtaji wa chips unazidi TZS 4,000,000? wewe siyo wa vitambulisho vya TZS 20,000?Wanabodi jana nimeenda TRA kwenda kufanyiwa tathmini ili nilipe kodi kwa ajili ya biashara yangu ndogo ya banda la chips, lakini nimeshangazwa baada ya kufanya hesabu zao wakaniandikia nilipie na Withholding Tax..! Naomba kufahamishwa kwanni wananitaka kufanya malipo hayo. Kwani navojua malipo kama haya hufanywa katika taasisi ambazo hutoa kazi za consultation nk.
NB; niliomba maelezo lakini hakuna majibu ya maana nliyopewa kutoka kwa wahusika
Msaada wenu tafadhali....Nimeambatanisha na picha ya fomu husika
View attachment 1057876
Sent using Jamii Forums mobile app
Sector yko hiyo mweka hazina....aminiaaaNi kwamba aliyekupangisha sehemu ya biashara unamlipa hela ya pango na haumkati w/tax ya rent hivyo basi wanakutaka ulipe pamoja na stamp duty ya 1% kwa ajili ya agreement kati yako na mwenye nyumba. Hii inatokana na kutokuwepo na utaratibu sahihi kama yafanyavyo makapuni ama wafanyabiashara wakubwa wanavyo kata kodi hiyo nakupeleka TRA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika hii ni serikali ya wanyonge.Kama kibanda umekodishwa na mtu unapaswa kulipa WHT ambayo ni 10% ya gharama ya pango na stamp duty 1%. Kama unalipa 50,000 kwa mwezi mwenye kibanda mpe 45,000 na 5,000 peleka TRA ndio WHT. 1% ambayo ni 450 unailipa wewe TRA.
Hivi kodi wanapanga kwa pato lako au mtaki? Maanake unaweza kuwa na mtaji mdogo lakini pato kubwa au kinyume chake.Mimi nimeenda TRA juzi ili wanifanyie tathmini ya kodi nayopasa kulipa. Wakaniuliza mtaji wako kiasi gani nikawaambia ni Tshs 1.2M majibu ya kodi toka kwa ofisa kaniambia 370K ila bosi wake akamlaumu kwa kunikadiria kodi ndogo akamwambia niandikiwe 540K.
Sasa capital na mauzo haviendani kabisa na kodi. Awamu hii kweli watu ndio maana tunafunga biashara haziendelei.
Sent using Jamii Forums mobile app
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/29596618Wanabodi jana nimeenda TRA kwenda kufanyiwa tathmini ili nilipe kodi kwa ajili ya biashara yangu ndogo ya banda la chips, lakini nimeshangazwa baada ya kufanya hesabu zao wakaniandikia nilipie na Withholding Tax..! Naomba kufahamishwa kwanni wananitaka kufanya malipo hayo. Kwani navojua malipo kama haya hufanywa katika taasisi ambazo hutoa kazi za consultation nk.
NB; niliomba maelezo lakini hakuna majibu ya maana nliyopewa kutoka kwa wahusika
Msaada wenu tafadhali....Nimeambatanisha na picha ya fomu husika
View attachment 1057876
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepanga boss...nalipia 40 kwa mweziJe, hicho kibanda cha chips ni chako binafsi au umepanga?
Wht 10%=4000*12=48,000/year
Mkuu kama mimi nalipia sh 300 000 kwa mwaka nnatakiwa kumkata shingapi wenye chumba maswala ya asilimia yananichanganyaMkuu uko vizuri; mtaji wa chips unazidi TZS 4,000,000? wewe siyo wa vitambulisho vya TZS 20,000?
Kama sivyo basi wewe unamiliki mgahawa na si banda la chips kama unavyodai. Kwa mujibu wa sheria za kodi, mkataba wako na aliyekukodishiwa hiyo unayofanyia biashara unatakiwa kulipiwa "Stamp duty" ambayo ni 1% ya kodi ya mwaka.
Vile vile unapomlipa huyo mwenye eneo, sheria za kodi zinakutaka kumkata 10% ya malipo unayomlipa na kuwasilisha TRA.
Asante kwa ufafanuzi wakoWht 10%=4000*12=48,000/year
SD 1%=400*12=4800/year
Ni biashara mpya. Unaweza pitisha hata siku mbili hujauza kitu mkuu. Ni kabiashara kadogo tu. Sasa sijui pato lipi wanaloangalia.Hivi kodi wanapanga kwa pato lako au mtaki? Maanake unaweza kuwa na mtaji mdogo lakini pato kubwa au kinyume chake.
Hilo banda la chipsi wewe umekodi ?Wanabodi jana nimeenda TRA kwenda kufanyiwa tathmini ili nilipe kodi kwa ajili ya biashara yangu ndogo ya banda la chips, lakini nimeshangazwa baada ya kufanya hesabu zao wakaniandikia nilipie na Withholding Tax..! Naomba kufahamishwa kwanni wananitaka kufanya malipo hayo. Kwani navojua malipo kama haya hufanywa katika taasisi ambazo hutoa kazi za consultation nk.
NB; niliomba maelezo lakini hakuna majibu ya maana nliyopewa kutoka kwa wahusika
Msaada wenu tafadhali....Nimeambatanisha na picha ya fomu husika
View attachment 1057876
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa hiyo w/t ni 10% yu pango lako la mwaka ila wewe ni wakala tu mlipaji ni yule mwenye kibanda.