Msaada tutani: TRA wanataka nilipie Withholding Tax kwenye Kibanda changu cha chips

BabaTina

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
429
1,000
Wanabodi jana nimeenda TRA kwenda kufanyiwa tathmini ili nilipe kodi kwa ajili ya biashara yangu ndogo ya banda la chips, lakini nimeshangazwa baada ya kufanya hesabu zao wakaniandikia nilipie na Withholding Tax..! Naomba kufahamishwa kwanni wananitaka kufanya malipo hayo. Kwani navojua malipo kama haya hufanywa katika taasisi ambazo hutoa kazi za consultation nk.

NB; niliomba maelezo lakini hakuna majibu ya maana nliyopewa kutoka kwa wahusika

Msaada wenu tafadhali....Nimeambatanisha na picha ya fomu husika
IMG-20190330-WA0002.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blaki Womani

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
11,215
2,000
Ni kwamba aliyekupangisha sehemu ya biashara unamlipa hela ya pango na haumkati w/tax ya rent hivyo basi wanakutaka ulipe pamoja na stamp duty ya 1% kwa ajili ya agreement kati yako na mwenye nyumba. Hii inatokana na kutokuwepo na utaratibu sahihi kama yafanyavyo makapuni ama wafanyabiashara wakubwa wanavyo kata kodi hiyo nakupeleka TRA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,407
2,000
Wanabodi jana nimeenda TRA kwenda kufanyiwa tathmini ili nilipe kodi kwa ajili ya biashara yangu ndogo ya banda la chips, lakini nimeshangazwa baada ya kufanya hesabu zao wakaniandikia nilipie na Withholding Tax..! Naomba kufahamishwa kwanni wananitaka kufanya malipo hayo. Kwani navojua malipo kama haya hufanywa katika taasisi ambazo hutoa kazi za consultation nk.

NB; niliomba maelezo lakini hakuna majibu ya maana nliyopewa kutoka kwa wahusika

Msaada wenu tafadhali....Nimeambatanisha na picha ya fomu husika
View attachment 1057876

Sent using Jamii Forums mobile app
Je, hicho kibanda cha chips ni chako binafsi au umepanga?
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,268

Kama kibanda umekodishwa na mtu unapaswa kulipa WHT ambayo ni 10% ya gharama ya pango na stamp duty 1%. Kama unalipa 50,000 kwa mwezi mwenye kibanda mpe 45,000 na 5,000 peleka TRA ndio WHT. 1% ambayo ni 450 unailipa wewe TRA.
 
kunguni wa ulaya

JF-Expert Member
Mar 16, 2014
4,112
2,000
Mimi nimeenda TRA juzi ili wanifanyie tathmini ya kodi nayopasa kulipa. Wakaniuliza mtaji wako kiasi gani nikawaambia ni Tshs 1.2M majibu ya kodi toka kwa ofisa kaniambia 370K ila bosi wake akamlaumu kwa kunikadiria kodi ndogo akamwambia niandikiwe 540K.
Sasa capital na mauzo haviendani kabisa na kodi. Awamu hii kweli watu ndio maana tunafunga biashara haziendelei.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,276

Mkuu uko vizuri; mtaji wa chips unazidi TZS 4,000,000? wewe siyo wa vitambulisho vya TZS 20,000?

Kama sivyo basi wewe unamiliki mgahawa na si banda la chips kama unavyodai. Kwa mujibu wa sheria za kodi, mkataba wako na aliyekukodishiwa hiyo unayofanyia biashara unatakiwa kulipiwa "Stamp duty" ambayo ni 1% ya kodi ya mwaka.

Vile vile unapomlipa huyo mwenye eneo, sheria za kodi zinakutaka kumkata 10% ya malipo unayomlipa na kuwasilisha TRA.
 
Dannis

JF-Expert Member
Jan 21, 2016
1,501
2,000
kwani mtaji wako ni zaidi ya 4M? kama hapana kwanini ulishindwa kuchukua kitambulisho cha 20,000?
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
52,803
2,000
Ni kwamba aliyekupangisha sehemu ya biashara unamlipa hela ya pango na haumkati w/tax ya rent hivyo basi wanakutaka ulipe pamoja na stamp duty ya 1% kwa ajili ya agreement kati yako na mwenye nyumba. Hii inatokana na kutokuwepo na utaratibu sahihi kama yafanyavyo makapuni ama wafanyabiashara wakubwa wanavyo kata kodi hiyo nakupeleka TRA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sector yko hiyo mweka hazina....aminiaaa
Vp ulifika salama lkn

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
51,136
2,000
Kama kibanda umekodishwa na mtu unapaswa kulipa WHT ambayo ni 10% ya gharama ya pango na stamp duty 1%. Kama unalipa 50,000 kwa mwezi mwenye kibanda mpe 45,000 na 5,000 peleka TRA ndio WHT. 1% ambayo ni 450 unailipa wewe TRA.
Hakika hii ni serikali ya wanyonge.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
42,268
2,000
Mimi nimeenda TRA juzi ili wanifanyie tathmini ya kodi nayopasa kulipa. Wakaniuliza mtaji wako kiasi gani nikawaambia ni Tshs 1.2M majibu ya kodi toka kwa ofisa kaniambia 370K ila bosi wake akamlaumu kwa kunikadiria kodi ndogo akamwambia niandikiwe 540K.
Sasa capital na mauzo haviendani kabisa na kodi. Awamu hii kweli watu ndio maana tunafunga biashara haziendelei.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kodi wanapanga kwa pato lako au mtaki? Maanake unaweza kuwa na mtaji mdogo lakini pato kubwa au kinyume chake.
 
Afrolink-Tz Consult Ltd

JF-Expert Member
Feb 25, 2018
393
1,000
Wanabodi jana nimeenda TRA kwenda kufanyiwa tathmini ili nilipe kodi kwa ajili ya biashara yangu ndogo ya banda la chips, lakini nimeshangazwa baada ya kufanya hesabu zao wakaniandikia nilipie na Withholding Tax..! Naomba kufahamishwa kwanni wananitaka kufanya malipo hayo. Kwani navojua malipo kama haya hufanywa katika taasisi ambazo hutoa kazi za consultation nk.

NB; niliomba maelezo lakini hakuna majibu ya maana nliyopewa kutoka kwa wahusika

Msaada wenu tafadhali....Nimeambatanisha na picha ya fomu husika
View attachment 1057876

Sent using Jamii Forums mobile app
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/29596618
 
exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,129
2,000
Mkuu uko vizuri; mtaji wa chips unazidi TZS 4,000,000? wewe siyo wa vitambulisho vya TZS 20,000?

Kama sivyo basi wewe unamiliki mgahawa na si banda la chips kama unavyodai. Kwa mujibu wa sheria za kodi, mkataba wako na aliyekukodishiwa hiyo unayofanyia biashara unatakiwa kulipiwa "Stamp duty" ambayo ni 1% ya kodi ya mwaka.

Vile vile unapomlipa huyo mwenye eneo, sheria za kodi zinakutaka kumkata 10% ya malipo unayomlipa na kuwasilisha TRA.
Mkuu kama mimi nalipia sh 300 000 kwa mwaka nnatakiwa kumkata shingapi wenye chumba maswala ya asilimia yananichanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rodger Mhina

Member
Oct 1, 2017
85
125
Wanabodi jana nimeenda TRA kwenda kufanyiwa tathmini ili nilipe kodi kwa ajili ya biashara yangu ndogo ya banda la chips, lakini nimeshangazwa baada ya kufanya hesabu zao wakaniandikia nilipie na Withholding Tax..! Naomba kufahamishwa kwanni wananitaka kufanya malipo hayo. Kwani navojua malipo kama haya hufanywa katika taasisi ambazo hutoa kazi za consultation nk.

NB; niliomba maelezo lakini hakuna majibu ya maana nliyopewa kutoka kwa wahusika

Msaada wenu tafadhali....Nimeambatanisha na picha ya fomu husika
View attachment 1057876

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo banda la chipsi wewe umekodi ?
Kama umekodi unapaswa kumlipa mwenye banda asilimia 90 ya kodi na aslimia 10% uilipe TRA kwa niaba yake. Iwapo ulimlipa zote asilimia 100 , hiyo ndiyo imekuletea shida kwa sababu deni linahamia kwako. Hiyo 1% Stamp duty ni kawaida kwenye mkataba wowote ule unalipia 1% ya thamani ya mkataba kama stamp duty
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom