BabaTina
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 429
- 574
Wanabodi jana nimeenda TRA kwenda kufanyiwa tathmini ili nilipe kodi kwa ajili ya biashara yangu ndogo ya banda la chips, lakini nimeshangazwa baada ya kufanya hesabu zao wakaniandikia nilipie na Withholding Tax..! Naomba kufahamishwa kwanni wananitaka kufanya malipo hayo. Kwani navojua malipo kama haya hufanywa katika taasisi ambazo hutoa kazi za consultation nk.
NB; niliomba maelezo lakini hakuna majibu ya maana nliyopewa kutoka kwa wahusika
Msaada wenu tafadhali....Nimeambatanisha na picha ya fomu husika
Sent using Jamii Forums mobile app
NB; niliomba maelezo lakini hakuna majibu ya maana nliyopewa kutoka kwa wahusika
Msaada wenu tafadhali....Nimeambatanisha na picha ya fomu husika
Sent using Jamii Forums mobile app