Msaada Tutani:Simu yangu haisomi Memory Card

Aleyn

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
19,210
32,371
WanaJF nattmia simu aina ya Nokia 5130 XpressMusic. Kuna Theme nilikuwa nimei-save katika Memory Card sasa nilivyoitoa simu ikawa na uweupe na haikuzika wala ujumbe wowote haikunipa. Nilivyoiweka tena ndio imekataa Kusoma Memory Card na kila nijaribu kuweka Memory Card zingine bado inakataa Kusoma. Msaada Tutani.
 
nilivyoitoa simu ikawa na uweupe
I
Mwanzo ilidhani ni matatizo ya simcard yako, lakini kwa maelezo kuwa ukitia simcard nyengine, inawezekana kunatatizo ndani ya simu, hasa huo weupe uliouona baada ya kuitoa. Isijekuwa slot imeungua ndani?
Tusubiri wataalamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…