Msaada tutani, Pc yangu haifunguki

Msaada tutani, Pc yangu haifunguki

buffalo44

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2016
Posts
5,126
Reaction score
13,106
Wakuu salaam

Nina pc yangu Hp probook, nilikuwa nafanya kazi fresh baadae naiweka chaja Windows inagoma kufunguka inaleta hii notification.
IMG_20200409_200448.jpg


Msaada tafadhali.
 
Jaribu kuiwasha pc kwenye safe mode na uisubirie kama lisaa hivi.
 
Wakuu salaam

Nina pc yangu Hp probook, nilikuwa nafanya kazi fresh baadae naiweka chaja Windows inagoma kufunguka inaleta hii notification.View attachment 1414156

Msaada tafadhali.
tafuta flash weka bootable ya window iliyoko ndani ya computer yako , then iplug in alafu select repair your computer
 
Hawa ndio walio mfanyia huu upuuzi KONDE BOY na kumkatisha tamaa bado wanaendelea tu na ujinga wao
 
Back
Top Bottom