Msaada tutani: Nitapata wapi soko la Mercury?

Done!
 
Nafahamu inapo uzwa njoo inbox
 
Kuna mtu atatumbukia kwenye mtego na kuporwa humu humu ndani, yaani ataliwa kekundu...in a flash!

Mie simoooooo. Nipo na mayai ya bundi!

Everyday is Saturday............................. 😎
 
Popote ulipo panda basi la kahama, ukifika kahama chukua daladala za kwenda Segese nauli ni 3000 kule utakuta mgodi wa wachimbaji wa dogo wa Ntambalale nauli ni 2000 kutokea pale Segese center kwa vipanya au 4000 kwa bodaboda. Kule utawakuta wenye mialo ya kuprocess dhahabu wananunua sana mercury maana ndo malighafi kuu katika ukamataji dhahabu
 
shukrani mkuu
 
Kuna mtu atatumbukia kwenye mtego na kuporwa humu humu ndani, yaani ataliwa kekundu...in a flash!

Mie simoooooo. Nipo na mayai ya bundi!

Everyday is Saturday............................. 😎
mkuu embu acha akili za kimasikini hizo za kutapeliwa. pia nina swali maana umetamka kitu
 
mkuu bei zao zipoje ? na kwa ujazo gani ?
 
Npo Chunya ni boda boda tu ila huwa naagizwa sana mercury na nimeona watu wana piga pesa ila kwangu ugumu ni wapi napata mercury nile faida
Kwa kilo ni mpaka 320000-350000
Kok au kizipo cha soda 20000-30000
Tatizo ni upatikanaji wake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…