Msaada tutani: Mwanaume bora tu achepuke

Wanaume mna visa sio kidogo
Ushamba wako tuu hakuna jipya tunafanya kasome biblia kitabu cha wafalme utamkuta mfalme Daudi alikuwa na wake 700 na michepuko 300 ila alikuwa kipenzi cha Mungu, mwanae mfalme Suleimani alikuwa na wake 1000 but still anasadikika kuwa mfalme mwenye busara kuliko wote.

Tuacheni mkome kutusakama...! Aliyetujalia ndiye aliyewanyima..
 
Shindwaaaa

Hapana uko vizuri tu, ila uandishi ndio mbovu mbovu
Basi usisome tu
 
Mkuu,

"My Friend: yani we acha tu, kuna vitu anafanya mke wangu kuna vitu lazima tutafute msaada tutani, mke hawezi atachoka mapema"

Nahisi hiyo aya ndo imebeba riwaya yote....ila ndo nimeambulia "My Friend" tu.
Tafsida imetumika haswaaa maana kuna vitu vinazeesha
 
Tafsida imetumika haswaaa maana kuna vitu vinazeesha

Ingeandikwa hivi, "kuna vitu vinafanywa na mke wangu, ila vingine ni lazima tutafute msaada tutani"

Angeandika hivyo angalau ingekuwa imeeleweka, lakini vile ilivyo, wala si suala la tafsida, ni mparanganyiko wa kiuandishi.
 
kasome biblia kitabu cha wafalme utamkuta mfalme Daudi alikuwa na wake 700 na michepuko 300 ila alikuwa kipenzi cha Mungu, mwanae mfalme Suleimani alikuwa na wake 1000 but still anasadikika kuwa mfalme mwenye busara kuliko wote.

Umesema???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom