Ph-25 JF-Expert Member Joined Nov 19, 2012 Posts 1,159 Reaction score 540 Jan 26, 2014 #1 Wadau naomba mwenye uwezo wa kuconect na kuisoma satelite finder anipatie ujuzi, mana iki kifaa sikielewi kwakweli. Shukran.
Wadau naomba mwenye uwezo wa kuconect na kuisoma satelite finder anipatie ujuzi, mana iki kifaa sikielewi kwakweli. Shukran.
Arselona JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 643 Reaction score 153 Jan 26, 2014 #2 soma manual yake. Kama hujawahi set dish itakupa ugumu sana.
Ph-25 JF-Expert Member Joined Nov 19, 2012 Posts 1,159 Reaction score 540 Jan 26, 2014 Thread starter #3 Arselona said: soma manual yake. Kama hujawahi set dish itakupa ugumu sana. Click to expand... kaka tatizo linakuja wakati wa kutambua signal,mfano za azam na zuku hua zina range kwenye number ngapi na ngapi,mana hapa naona kuna number nyingi tu.
Arselona said: soma manual yake. Kama hujawahi set dish itakupa ugumu sana. Click to expand... kaka tatizo linakuja wakati wa kutambua signal,mfano za azam na zuku hua zina range kwenye number ngapi na ngapi,mana hapa naona kuna number nyingi tu.