Msaada Tutani Kuhusu Bibi Titi

Companero

Platinum Member
Joined
Jul 12, 2008
Posts
5,609
Reaction score
1,738
MSAADA TUTANI

1. Babarabara ya Bibi Titi ilipewa jina hilo mwaka gani?

2. Kombe la Bibi Titi lilianzishwa mwaka gani, na nani, na kwa ajili ya nini?
 
Mod, huu ni mjadala wa kihistoria inakuwaje mnauhamishia huku?
 
TITI limefanyaje au umekumbuka utamu wakeee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…