Babb-Babbjrtz
Member
- Feb 13, 2012
- 57
- 7
Wadau kama kuna mtu anajua maujanja ya kuchakachua EASY TV channels tukaweza ona bure naomba atusaidia please
hata hii ya kulipia alfu 10 unataka kuchakachua?kazi kweli kweli..Wadau kama kuna mtu anajua maujanja ya kuchakachua EASY TV channels tukaweza ona bure naomba atusaidia please
Wadau kama kuna mtu anajua maujanja ya kuchakachua EASY TV channels tukaweza ona bure naomba atusaidia please
Hii inaonyesha jinsi gani Maisha yalivyo Magumu. Halafu watu wanakuja na Ving'amuzi vya 160,000. Kama hii elfu 10 inatushinda je Mia Sitini tutaweza kununua Ving'amuzi!?
Ngoja Niumize KichwA Niende China Nikirudi Bongo Ntakuwa na Software ya Kuchakachua Ving'amuzi vyote. Kufa Kufaana.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Jamani si ndio Ufisadi huu? Nadhani watanzania tunatakiwa kuwa na aibu ndio nchi hii itaendelea, if you cannot afford 10000, usiangalie TV! Unadhani wale wanaofanya kazi kule EASy TV walipwaje na kupeleka watoto wao shule na chooni?Wadau kama kuna mtu anajua maujanja ya kuchakachua EASY TV channels tukaweza ona bure naomba atusaidia please