Msaada Tutani, Data Recovery Service

Msaada Tutani, Data Recovery Service

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2010
Posts
3,018
Reaction score
1,152
Wazee wa Mujin Bahari
Nina hard disk niliitoa kwenye laptop yangu ya zamani nikawa naitumia kama external siku za karibuni ime collapse kabisa ina data muhimu sana sana nahitaji msaada wa namna ya ku retrieve hizo data nilifirikiri case labda itakuwa na matatizo lakini nimejaribu kubadilisha bila mafanikio, Ukiiweka kwenye computer utasikia sauti fulani kana kwamba kuna vitu vinagongana huko ndanai
Individual, ama kampuni wanaofanya shughuli hii pls pls, uk.....pls let me know, Im ready to pay
 
Inaweza kusoma katika machine? uliifanyaje hata ikaacha kusoma?
 
download data recovery software uanze kufuata maelekezo yaliyopo uenda ikakusaidia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom