DuppyConqueror
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 9,466
- 6,974
Kwahiyo ulitaka nidanganye au? JF ndo sehemu pekee tunayothubutu kuongea ukweli hata kama utakuumizaUnapata faida gani kuweka picha inayoonyesha uchafu?
Kumbuka watu tunaotumia app ya JF tunaona hiyo picha hata bila kufungua uzi.
Kuwa mstaarabu jirekebishe.
Kaloweke hio underwe.a.rU u haha a a ha ! Nimecheka mpaka kojo mwaaa...
Umeweka picha ya choo kichafu ndiyo unaona unasema ukweli?Kwahiyo ulitaka nidanganye au? JF ndo sehemu pekee tunayothubutu kuongea ukweli hata kama utakuumiza
Sekunde moja unasema hutaki kuwa rude...sekunde inayofuata unatoa maneno opposite na hiyo sentensi ya kwanza....i think YOU need to consult your therapist NOWUmeweka picha ya choo kichafu ndiyo unaona unasema ukweli?
Picha uliyoweka bila shaka inawakilisha yaliyomo mawazoni mwako.
I don't want to sound rude..but you need to consult your doctor ASAP.
Mmmh acha uongo weweeUnapata faida gani kuweka picha inayoonyesha uchafu?
Kumbuka watu tunaotumia app ya JF tunaona hiyo picha hata bila kufungua uzi.
Kuwa mstaarabu jirekebishe.
Are you high on drugs or something?Sekunde moja unasema hutaki kuwa rude...sekunde inayofuata unatoa maneno opposite na hiyo sentensi ya kwanza....i think YOU need to consult your therapist NOW
Mweee poleeMaelezo yako yamenifurahisha ila nimekereka hapo kwenye MWE MWE MWEE...!!Huwa nakereka mtu akiandika ivo
Ahahahaha uraya uraya!Ila umenifurahisha hapo uliposema ile harufu nzuri ilikufanya ukatamani mtu aingie humo bafuni hata kwa bahati mbaya aje akushughulikie.
Ahahaha nimechekaaa.. therapist bongooo?!Sekunde moja unasema hutaki kuwa rude...sekunde inayofuata unatoa maneno opposite na hiyo sentensi ya kwanza....i think YOU need to consult your therapist NOW
Uongo upi niache?Mmmh acha uongo wewee
Ahahahahha nimechweeeka kuliko maelezoKuna vitu vingine sie tusharidhika kutovipata....yan bafu ya hapa nyumban iko na foleni na usiombe uchelewe kuamka utakuta hadi makohoz.....mlango ni bati unaegesha ukidondosha sabuni kama mgeni hutoiyokota ama utaanza kuiogesha sabuni kwanza ndio ikuogeshe ila mimi naokotaga mana nihasara mazee
Kuwa unaona picha hata kama haujaja kwa my thread sio kweliUongo upi niache?
Siwezi kudanganyaKuwa unaona picha hata kama haujaja kwa my thread sio kweli
AYa boss me sijadownload app ya jf ndo maanaSiwezi kudanganya
Kama unatumia app ya JF unaweza kuona picha (si picha zote) hata kama hujafungua uzi husika.
Jaribu kupitia sehemu ya NEW POSTS utaona baadhi ya picha zinaonekana kwenye thread mbalimbali
mje mshamba_hachekwi Cr wa familiaHey~lo!
Sorry nimekuwa kimya naumwaaa shetani ashindww hataki me nisonge mbele na entertainment! Shindwa shetani wa magonjwa shindwaa!
Skumoja nipo na baby~sit watoto wq dadangu, hehe
Walipoenda kulala, shemeji alikuwa amesafiri, dada akachelewa kurudi from work ikabidi nilale pale
Kulipokucha nikaenda kuomba sabuni niog, nikaambiwa njoo uogee huku kwangu, mjeda nikadondoka master bathroom!
Kuingia mwe mwe mwe! Yani huko kuna shower gell mpaka ya miguuu
1. Shower gel ya kuanza kuoga baada ya kujimwagia maji
2. Cream shower gel ukishamaliza kutumia shower gel 1, inanukia hiyooo
3. Scrub shower gel kama unaona mwili wako unamikunjo kunjo hauna network umepoteza mawasiliano una scrubia sasa iyo ili ukae sawa
4. Foot shower gell kwa ajili ya kusugua miguuu tuuu
5. Bado sabuni za usoooo, facial scrubs, liquid soap, mweee
Utadhani nipo 6star bathroom
6. Zile ndude zile za kujisugulia zile kamba za kusugua mwili zile nzuri nzuri sijui sponge ya kuogea mwe kila rangi zimepangwaaa
7. Tisa kumi kuna meza nje ya shower place imejazqa Perfumes za kila aina, deodorants za kila aina gademit jaman nilijua haya mambo uraya uraya kumbe na bongo vepee!
Me nikijiangalia bafu langu kuna dodoki, na jiwe la kariakoo pale sokoni lile jeusi la kujisugua mgongoni, kuna sabuni ya mche mbuni kama sio alovera za kariakoo, nimemalizaaa... mmh umaskini jaman sheedah!
Nikatoka pale staki kutokaaa maji ya motoooo, natamani nilale bafuni kunanukia kama umande wa Mbinguni, mwe bafu bafu kweli hata ukisema unapigwa miti pale unafungua uchi woteee kama unazaaa gademit
Embu nambieni wana JF nyie mabafu yenu yapoje, au ndo mende na panya wanawachungulia kwa chini?! Au bafu ndo choo kama uswahilini kwetu?! Uuuwiii
Mabafu yenu classic au mende bafu?!
HahahahahHey~lo!

mbona wacheka?Hahahahah