msaada tuta la pili; NAHITAJI KUJUA DUKA LA VITABU LA JUMLA KWA DSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada tuta la pili; NAHITAJI KUJUA DUKA LA VITABU LA JUMLA KWA DSM

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by HAZOLE, Sep 8, 2011.

 1. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wana JF naombeni mnijuze ni wapi kuna duka la vitabu wanapouza kwa bei ya jumla. nahitaji kuuza vitabu vya higher learning/elimu ya juu.
  tafadhari nisaidiane mjasiriamali mwenzenu....
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,321
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Makunganya street karibu na BP station. Linaitwa worldbook
   
 3. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  wavyheya sana mkuu.... nitafika pale nifanye window shopping.
   
Loading...