limeanza lini? na ni vyakula vya aina gani unavyokula? kuna magonjwa mengi ya tumbo lazima kuwa specific.Kwa yeyote anaeweza kunisaidia jamani......
Nasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu sasa nimetumia madawa sana na nimefanya mpaka endo scope
pale Agakhan Hospital kujua tatizo ni nini lakini bado linanisumbua
tatizo lenyewe:
Kila ninapokula chakula mchana nikimaliza baada ya mda mchache tumbo linaniuma sana
na kujaa gas nikienda chooni naharisha nashughuli inaishia hapo na linaacha kuuma mpaka kesho yake
tena nikila chakula.....ila nikila vitu vikavu km cake,nuts pamoja na vinywaji km juice au soda huwa haliumi kabisa
hili linatokea nikila mchana tu usiku na asubuhi hakuna tatizo
Naomba msaada wenu jamani
limeanza lini? na ni vyakula vya aina gani unavyokula? kuna magonjwa mengi ya tumbo lazima kuwa specific.
dawa za minyoo huwa nakula kila baada ya miezi mitatu au minne,maharage hata nisipokula mwezi mzima tatizo ni palepale mpaka najiona km sitakiwi kula...believe me nisipokula tumbo wala haliumi...Una minyoo tafuta Zentel ya kidonge unywe mara moja asbh b4 kula na wiki inayft unapiga tena kimoja dukani@5000 punguza kula maharage na urojo dawa ya maji relcer gel pia itasaidia swala la gesi na kujambajamba
isije ikawa ni irritable bowel syndrome.dalili zake ni kuumwa na tumbo,tumbo kujaa,na kuharisha.ila maybe wataalamu watakujuza zaidi.jaribu kula kidogo kama tatizo ni mchana tu.
isije ikawa ni irritable bowel syndrome.dalili zake ni kuumwa na tumbo,tumbo kujaa,na kuharisha.ila maybe wataalamu watakujuza zaidi.jaribu kula kidogo kama tatizo ni mchana tu.