Msaada:Traffic case

Davooo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
506
Reaction score
779
Wakuu
Naomba Msaada Na Maelezo Yatakayonisaidia Katika Tatizo Nililonalo
Ni Hivi,Siku Ya Jumatano Nilipata Ajali(Niligongwa Na Pikipiki(Mimi nilikuwa na Gari) Pikipiki Ile Ilikuwa Site Yangu Na Ni Kwenye Kona)Kwa Bahat Nzuri Hakukuwa Na Kifo Ila Jamaa Aliumia Kidogo Na Traffic wakaja Kupima Na Wakasema Pikipiki Ndio Mwenye Makosa.
Jamaa Wa Pikipiki Hana Leseni,Kadi,Bima Na Pia Pikipiki Haina Break Na Kwa Upande Wangu Nipo Full,Ila Naona Dalili Za Polisi Kutaka Kunionea Kama Vile Niwape Pesa
Hili Likoje Wakuu Au Nifanye?(Sina Uelewa Sana Kwenye Hayo Mambo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…