OkayMkuu kuna mtu namuuzia sasa yeye kwake anatumiaga Cable,tulivyounganisha ndyo yametokea hayo wasi wasi wangu asje akaona namuuzia ktu kibovu
In Theory Coax ni Analog mkuu. Unatakiwa uchague hio.Pia kwenye advanced options kuna options za Analogy, digital, digita and analogy na Cable only.
Je natakiwa nichague options ipi? Maana nimejaribu zote ila wapi
In Theory Coax ni Analog mkuu. Unatakiwa uchague hio.
Pia Nimeangalia site ya Amazon wanasema kupata chanell ulizo scan angalia tab ya on now.
Connect a Live TV Source to Your Fire TV Smart TV - Amazon Customer Service
To watch live TV content, connect a supported live TV source to your TV and scan for channels.www.amazon.com
Una scan analog? Ukienda setting kisha live tv kisha sehemu ya kuscan umejaribu kuscan ikiwa analog pekee imekua selected?Shukran sana ndugu,niki scan inahesabu hadi 100% ikimalza inaandika 0 channels found.
Mkuu sijafahamu tatizo nini hapo, idea nyengine ununue Receiver ya analog, watu wa cable siku hizi wanatoa na vi receiver vyao, una search kwenye ile receiver na huku kwenye tv signal zinakuja kama Digital na HDMI. Exactly model sijafahamu ila by appearance inaonekana ni bei rahisi.Ndiyo Mkuu,nimejaribu kubadilisha settings kila moja imenipa matokeo hayo hayo ya no Channel found.
Mkuu sijafahamu tatizo nini hapo, idea nyengine ununue Receiver ya analog, watu wa cable siku hizi wanatoa na vi receiver vyao, una search kwenye ile receiver na huku kwenye tv signal zinakuja kama Digital na HDMI. Exactly model sijafahamu ila by appearance inaonekana ni bei rahisi.