Topics zote ni muhimu mkuu katika masomo yote,uloyataja.na kuhusu usomaji ni wew tu,kujipangia muda wa kuwepo darasan,kusoma vitabu,kupitia past papers na discussion pia.so hapo ni suala la muda tu.
Zote muhimu Ila kuna nyingine ni muhimu zaidi Ukifika Shule tafuta format ya Necta Mfano chemistry organic chemistry paper one ina marks 30 paper 2 marks60
wewe usipo kuwa makini utafeli hakika ,,,kama umeanza uliza umuhimu wa topic wakati zote zinatoka kwenye mitihani!! Labda uliza ni topic gani usome tuitsheni kwa madoma ya bio, chem na phys!!!
wewe usipo kuwa makini utafeli hakika ,,,kama umeanza uliza umuhimu wa topic wakati zote zinatoka kwenye mitihani!! Labda uliza ni topic gani usome tuitsheni kwa madoma ya bio, chem na phys!!!
Hii style unayomshauri sidhsni kama ni nzuri kwake. Atakuwa anasomea mtihani na kamwe hawezi kuwa competent. Hii itamlemaza na hata akiwa kwenye masomo ya profession itampa wakati mgumu.
Namshauri asome tu topics zote na aelewe anachosoma. Kujibu maswali kwa kitu unachofahamu ni rahisi kuliko hiyo njia ya kujihami kwa maswali.