Msaada toka kwa mechanical engineers kuhusu speedmeter

Msaada toka kwa mechanical engineers kuhusu speedmeter

Inkotanyi 94

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,244
Reaction score
4,031
nimekuwa niktumia zaid magari ya ulaya yanayosoma max speed ya 260km/h kuliko ya japan ya 180km/h. je ni kweli kama magari yana engine sawa au zinazokaribiana kama cc 2500 kwa 3000 kukawepo na ufanis tofaut wa mwendo kutokana na tofauti ya usomaji huo? kwa maana nimekamatwa mara kadhaa na traffic eti nimezid 30km/h nikiendesha gari linalosoma miles na km/h kias kwamba hiyo ni kas kama nimesimama. pia nimeendesha mark x cc2500 nikaona unapokuwa at 120 ina kasi ileile kama ninapokuwa na lexus cc3000 ikiwa at more than 180. lakin vinasoma tofauti. mwenye kujua udadavuz wake anijuze.
 
Ingawaje sijakuelewa vizuri kutokana na uandishi wako lkn ninachoweza kukwambia labda kitakusaidia siku zijazo ni kwamba km/h ni km/h na haijalishi wewe unatumia miguu, gari ndege au roketi hilo la kwanza, la pili ufanisi au nguvu ya injini ya gari haipimwi kwa ukubwa wa injini peke yake bali kikubwa zaidi ni horsePower ambayo siku hizi kW (Kilo Watt) inatumika zaidi, sasa Horsepower maana yake ni nini?

Horsepower ni nguvu itumiwayo na farasi na hapo zamani Ulaya kabla ya kugunduliwa kwa injini walikuwa wanatumia farasi kama vile sisi punda na hivyo nguvu ya uvutaji mizigo ilitegemea una farasi wangapi kama ulikuwa na farasi watano basi hiyo ilikuwa ni 5 horsepower n.k hivyo injini ilivyogunduliwa na hatimaye magari wakaendelea kutumia huwo msemo hivyo ukisikia gari ina kwa mfano 90 horsepower maana yake ni kwamba nguvu yake ni sawa na farasi 90 n.k hata hivyo kW ndiyo sahihi zaidi kwa mfano Horsepower 4 au farasi 4 ni sawa na 3 kW n.k
 
Haujaeleweka kusema ukweli ila km/h ni standard measure, 100kmh kwenye gari a ni sawa na 100kmh kwenye gari b always na forever al long as meter zote ziko accurate.

Now maximum speed inayosomeka kwenye dashboard inategemea vitu vingi sana, nguvu ya engine, uzito wa gari, shape ya gari etc. Pia nchi tofauti zina sheria tofauti kuhusu maximum speed inayoruhusiwa kwa hiyo unaweza ukakuta gari inaweza kufika 200kmh lakini inakuwa limited to 180kmh kutokana na sheria za linapouzwa, kwa mfano magari Japan yako limited to 180kmh lakini gari hiyo hiyo wakiiuza nje ya nchi wanaondoa speed limit.
 
Tochi za traffic nadhani zinasoma km/h na gari yako itakuwa inasoma kwa mtindo wa mile/hr na sio km/h ndio maana maana unakamatwa.
 
nilichoelewa mpaka sasa ni kuwa km/h ni ileile kwa vyomboi vyote vinavyohusu mwendo. pia magari ya japan yanaweza kukimbia zaid ya 180km/h ila tu hiyo ndo standard waliyoamua kuandika kwenye dashboard. swali ni je ukiachilia mbali suala la cc ya engine nawezaje kujua horsepower ya gari ninalotumia? na je ni sahihi mwenye gari ya japan akiendesha mshale ukasoma 120km/h na mwenye la ulaya likasoma kwenye dashboard 240 km/h manake wa mwisho anamzid wa kwanza mara mbili kwa speed wanayokuwemo?
 
Yaah engine speed za magari zinatofautiana.mfano ukitumia MPI ni zaidi ya 40% ya GDI engine hiyo ni kusema kuwa unaweza kuwa 120km/h kwenye gari fulani ikawa tofauti na 120km/h ya gari jingine.
Kikubwa ni rpm ndo inayoonyesha engeni iko speed kiasi gani
 
fafanua kidogo apo kwenye red kaka, sababu ninachofahamu mimi kama hakuna tweak yoyote kwenye dashboard au tires, basi chochote kitakachotembea 120km/h kitamaliza hio distance ya kilomita 120 kwa kutumia saa moja
 
huyu chiu kanirudisha nyuma tena. mi nalazmisha dhana yangu kuwa iwe bas au semi au train au meli kama zinasoma 100km/h manake zitafika zinakoenda mda uleule kama hamna sababu nyingne kama kubadilisha kasi hiyo kwa chombo kimojawapo.
 
fafanua kidogo apo kwenye red kaka, sababu ninachofahamu mimi kama hakuna tweak yoyote kwenye dashboard au tires, basi chochote kitakachotembea 120km/h kitamaliza hio distance ya kilomita 120 kwa kutumia saa moja

Jamaa kachemka, 120km/h ni 120km/h haiwezi kutofautiana kati ya magari.

Kumbuka km/h maana yake ni nini, maana yake ni ndani ya saa moja itakuwa imesogea umbali wa km 120, sasa fikiria 120km/h ya gari moja iwe tofauti na nyingine hii haileti maana na ni complete nonsense :frusty:.
 
Kwenye kuendesha kuna kitu wanaita Optimal Speed. Hii inategemea na AERODYNAMIC ya gari.

Gari kama LaFerrari, Buggati Veyron, Zonda, Porsche, Mclaren na mengine mengi yaitwayo SPORTS CAR, yametengenezwa ili yaweze kuwa na Wind Resistance ndogo sana wakati yanasafiri. Masters katika hilo ni Formular 1 Car.

Ndege ili kupunguza Wind Resistance na hivyo kuchoma mafuta kidogo, husafiri juu sana angani kama km 8-10 juu ya usawa wa bahari. Huko upinzani wa upepo ni kidogo sana.

Hivyo hata kwenye magari, kila gari linategemea limetengenezwa vipi. Gari kama Range Rover ilivyokaa kama Box, unaona kabisa kuwa Wind Resistance itakuwa kubwa na hivyo likisafiri 180 km/hr litachoma mafuta mengi mno ili kufikia hiyo speed na hapo ndiyo mambo ya kW au Horsepower yanaanza kuonekana umuhimu wake.
Gari kama LaFerrari, unaweza kukuta linaanza kuchoma mafuta mengi kuzidi wastani kwenye speed kubwa zaidi ya ile iliyofikiwa na Range Rover au Bus au Roli.

Ukizidi hiyo Optimal Speed (Fuel Efficiency), mafuta yanaanza kutumika kwa wingi zaidi ya wastani. Ndiyo maana gari ya Veyron, linaonekana mara nyingi likiwa Fuel Station likipewa chakula yake.
Ndege za Wafaransa na UK ziitwazo Concord, kwa kitendo cha kuongeza speed mara mbili ya speed ya ndege za kawaida kubwa za abiria 1000km/hr, utumiaji mafuta wake ulikuwa mkubwa hadi ikafika wakati hizi ndege ikaonekana hazifai kabisa kwani kuzitunza ilikuwa gharama sana. Speed ya 2140 km/hr ilikuwa inakula mafuta si kawaida.
Sasa hivi wote wameishia kwenye Opitmal Speed ya 1000km/hr.

LaFerrari, Bugatti Veyron and Porsche 918 spyder.... Angalia Porsche anavyoachwa.....Laferrari anawaacha wote. Hizo HP zake sasa.....
Bugatti-Veyron-Super-Sport-Ferrari-LaFerrari-Porsche-918-Spyder-fotoshowBigImage-1826b94e-816749.jpg

nilichoelewa mpaka sasa ni kuwa km/h ni ileile kwa vyomboi vyote vinavyohusu mwendo. pia magari ya japan yanaweza kukimbia zaid ya 180km/h ila tu hiyo ndo standard waliyoamua kuandika kwenye dashboard. swali ni je ukiachilia mbali suala la cc ya engine nawezaje kujua horsepower ya gari ninalotumia? na je ni sahihi mwenye gari ya japan akiendesha mshale ukasoma 120km/h na mwenye la ulaya likasoma kwenye dashboard 240 km/h manake wa mwisho anamzid wa kwanza mara mbili kwa speed wanayokuwemo?
 
umefanikiwa kutaja taja magari;lakin haujaeleweka
inawezekana hujanielewa kwa sababu sijatumia lugha ya kimekanika siijui. sabab nyingne labda hukusoma vizur kichwa cha habar kuwa ni suala la kitaalam na kitaaluma ukadhan naulizia gari la kununua toka mkononi mwa mtu.
 
fafanua kidogo apo kwenye red kaka, sababu ninachofahamu mimi kama hakuna tweak yoyote kwenye dashboard au tires, basi chochote kitakachotembea 120km/h kitamaliza hio distance ya kilomita 120 kwa kutumia saa moja
mkuu Kuna engine output power.na hizo zinatofautiana mfano ukilingalisha Kati ya Mitsubishi evo4 na evo5 zishindane ,nadhani tutampa kwenye evo5 kipaumbele zaidi ya evo4 lakini gari zote zina cc sawa.katika kujua output ya engine Kuna vitu vingi vinahusika ie hewa inayoingia kwenye engine,timing of air fuel,na Ni wakati gani inachoma.mfano mwingine gari za Mitsubishi zina badilisha zenyewe uchomaji WA mafuta kutokana na speed na mzigo.
 
Ninachofahamu mimi speed ya gari hupimwa kutoka katika mzunguko wa shaft inayosukuma mataili na geabox za gari ndogo hutofautiana. Kuna gearbox gear 4,5 na kuendelea. Gari yenye gear 3 haiwezi shindana na yenye gear 5. Cc za gari zinaendana na gear. Mfano mi nina gari colora limited cc 1800 gear 5 nawe una gari toyota gland mark II cc 2000 gear 5 sote tuwetunapandisha mlima mmoja. Hapa mwenye gland lazima atanyanyuka fasta sababu gari yake itakuwa na pulling japo wote gearbox zao zipo sawa. Ila mtoa mada hujafafanua vizuri.
 
Back
Top Bottom