simoni joseph
Member
- Jul 27, 2015
- 26
- 0
Kuna tofauti gani kati ya galax s4 original na galaxs4 copy naombeni majibu, mimi inanishinda kutofautisha.
Tafauti ya kwanza ni quality ya material iliyotumika kutengeneza hizo simu mbili,original imetengenezwa kwa material bora zaidi hata kioo chake kina mngao fulani hivi tafauti na ile kopi ambayo imetengenezwa kwa cheap material.yaan kwa kifupi unaweza kuijua kama ni feki au original bila hata kuiwasha
ushawahi kuiona SUPER CLONE mkuu!??..
ushawahi kuiona SUPER CLONE mkuu!??..
Clone inatumia lcd na flagship za galaxy ni amoled ukiwa makini sana utazijua bila kuziwasha
kaka uko sawa.. ila jaribu kumfikiria mtu mwenye knowledge ya kawaida kuhusu hizo gadgets.. tena ndio kaletewa simu moja.. hana nyingine ya kufanya comparison...
SUGGEST NJIA RAHISI YA KUMFUNGUA MACHO BASI MKUU..
nautambua na kuuheshimu ujuzi wako kuhusu hizi ndude