Mkuu huwezi weka ios kwenye copy ama clone, ukiona ina ios ujue hio ni OG.Wakuu naombeni kujua tofaut kati ya copy iphone na clone ya iphone
Najua kuna.copy nyingi za iphone ila kuna copy za iphone ambazo zinakua ni android tu yaan ikiwaka na mfumo ni android
Na kuna copy ambayo unakuta ni iphone kabisa kias kwamba kujua ni ngumu kwani hata mfumo ni wa ios kbs........naombeni mnijuze kuhusu hizi inakuaje inakua ni km iphone kbs na hapa tz wapi zinapatkana ambazo zipo km iphone kila kitu hadi mfumo wa ios?
Hakuna iPhone feki....ila kuna android zenye muonekano wa iPhone kwa nje...
Feki ya android inatumia android na feki ya iPhone inatumia OS gani?fake iphone zipo.
kama zilivyo fake androids.
nyinyi ndio mnafanya watu wapigwe,neno fake maana yake isiyo halisi.
Feki ya android inatumia android na feki ya iPhone inatumia OS gani?
Kwahyo kuna fake iphone zenye ios?fake iphones zinatumia android gani??kwa maelezo yako!!!
mimi nafahamu fake samsung inatumia fake android,na fake iphone inatumia fake ios vile vile au hujakutana nazo bado???
ikiwa fake iphone haiwezi kufanya hata task ndogo tu za android,kama huhifadhi video ya 50 mb,unasemaje inatumia android hii,wakati system tu ya android 6 inakaa kwa 6gb??
Kwahyo kuna fake iphone zenye ios?
Hakuna copy au clone yenye mfumo wa ios never kwa sasaWakuu naombeni kujua tofaut kati ya copy iphone na clone ya iphone