Polea Sana,tiba ya tatizo hili hutegemeana na chanzo chake,maana dalili hizi huweza kusababishwa na Mambo mbalimbali Kama;
1. Msongo wa mawazo (stress) au hofu ya muda mrefu
2. Magonjwa ya neva (neuropathy) mara nyingi kwa wagonjwa wa kisukari
3. Upungufu wa vitamini fulani hasa B12
4. Madhara ya dawa (hasa za presha, akili au msongo)
5. Hali ya akili kama schizophrenia, paranoia au matatizo ya usingizi
6. Ulevi wa dawa za kulevya au pombe kupita kiasi
7. Maambukizi ya ngozi (kwa baadhi ya visa, ingawa si kawaida).
Kama unahitaji msaada zaidi unaweza kunitafuta hapa
0674348222