magicdavie Member Joined Aug 12, 2017 Posts 57 Reaction score 68 Dec 6, 2022 #1 Ndugu, jamaa, naomba msaada kwa anaejua dawa ya macho, mzee wangu kaingiwa na matone ya mti wa mnyaa machoni
Ndugu, jamaa, naomba msaada kwa anaejua dawa ya macho, mzee wangu kaingiwa na matone ya mti wa mnyaa machoni
kwetugt JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 297 Reaction score 293 Dec 6, 2022 #2 magicdavie said: Ndugu ,jamaa ,naomba msaada kwa anaejua dawa ya macho ,mzee wangu kaingiwa na matone ya mti wa mnyaa machoni Click to expand... Kama kuna mama ananyonyesha mwambie amkamlie maziwa machoni kesho ataamka yuko poa
magicdavie said: Ndugu ,jamaa ,naomba msaada kwa anaejua dawa ya macho ,mzee wangu kaingiwa na matone ya mti wa mnyaa machoni Click to expand... Kama kuna mama ananyonyesha mwambie amkamlie maziwa machoni kesho ataamka yuko poa
magicdavie Member Joined Aug 12, 2017 Posts 57 Reaction score 68 Dec 6, 2022 Thread starter #3 kwetugt said: Kama kuna mama ananyonyesha mwambie amkamlie maziwa machoni kesho ataamka yuko poa Click to expand... Nimemkosa mama anayenyonyesha, nimetumia maziwa ya ng'ombe fresh, nasubiri nione kama yatasaidia
kwetugt said: Kama kuna mama ananyonyesha mwambie amkamlie maziwa machoni kesho ataamka yuko poa Click to expand... Nimemkosa mama anayenyonyesha, nimetumia maziwa ya ng'ombe fresh, nasubiri nione kama yatasaidia
kwetugt JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 297 Reaction score 293 Dec 6, 2022 #4 magicdavie said: Nimemkosa mama anayenyonyesha, nimetumia maziwa ya ng'ombe fresh, nasubiri nione kama yatasaidia Click to expand... Yanaweza saidia
magicdavie said: Nimemkosa mama anayenyonyesha, nimetumia maziwa ya ng'ombe fresh, nasubiri nione kama yatasaidia Click to expand... Yanaweza saidia