Ahsante mkuu.Multidrug-Resistant Gonorrhea: New Treatment Guidelines:-
Multidrug-Resistant Gonorrhea: New Treatment Guidelines
..... The CDC's updated treatment recommendations are:
- Treat gonorrhea at any anatomic site with a single intramuscular injection of 250 mg ceftriaxone plus either 1 g azithromycin as a single oral dose or 100 mg doxycycline orally twice per day for 7 days.
- If ceftriaxone is not available, patients can be given a single oral dose of cefixime 400 mg and either a single dose of azithromycin or doxycycline 100 mg orally twice per day for 7 days.
- If the patient is allergic to cephalosporins, he or she can be given a single dose of azithromycin 2 g.
- Patients who receive either of the alternatives to ceftriaxone should return for a test of cure in 1 week.....
Kwa hiyo unaacha zinaa hadi upone unarudi tena kwenye zinaa, macho haya yanatuponza sana!!Wakuu, nimeona nyuzi kadhaa zinaelezea tiba ya kisonono. Nimekuja kwenu baada ya kuwa nimechukua tiba kadhaa.
Sina dalili zozote za kuumwa, ila baada ya kugundua mpenzi wangu anao ugonjwa (alitibiwa ila tulishachana leo siku ya 68), nilifuatilia dalili na kuona urethral discharge. Hadi sasa bado ipo hiyo dalili pekee.
Nilianza na dozi ya Cyrpo, doxy, blufen na dawa zingine, sikupona. Mwezi wa 11 nikapoga PenaDo (pendaduu) wiki 4, nilikua nachomwa 10cc matako mawili each 5cc still kukawa na dalili. Nitaambiwa nimeze Fluconazol nikameza siku 10, hadi sasa wiki ya 2 baada ya dozi sijapona.
Kwa hapa nitumie dawa gani,
NB, NIMEACHA ZINAA TANGU TARH 5 OCTOBER HADI NIPONE.
Hapana mkuu, nikipona, nachukua tahadhari.Kwa hiyo unaacha zinaa hadi upone unarudi tena kwenye zinaa, macho haya yanatuponza sana!!
Mzizi wa mpapai chemsha chuja kunywa mara 2 kwa sikuWakuu, nimeona nyuzi kadhaa zinaelezea tiba ya kisonono. Nimekuja kwenu baada ya kuwa nimechukua tiba kadhaa.
Sina dalili zozote za kuumwa, ila baada ya kugundua mpenzi wangu anao ugonjwa (alitibiwa ila tulishachana leo siku ya 68), nilifuatilia dalili na kuona urethral discharge. Hadi sasa bado ipo hiyo dalili pekee.
Nilianza na dozi ya Cyrpo, doxy, blufen na dawa zingine, sikupona. Mwezi wa 11 nikapoga PenaDo (pendaduu) wiki 4, nilikua nachomwa 10cc matako mawili each 5cc still kukawa na dalili. Nitaambiwa nimeze Fluconazol nikameza siku 10, hadi sasa wiki ya 2 baada ya dozi sijapona.
Kwa hapa nitumie dawa gani,
NB, NIMEACHA ZINAA TANGU TARH 5 OCTOBER HADI NIPONE.
Ahsante sana, samahani, nichemshe kiasi gani? Nusu lita, lita moja au?Mzizi wa mpapai chemsha chuja kunywa mara 2 kwa siku
Inategemea na mizizi ulonayo...... ukienda duka la dawa za asili utapewa na maelezo vzuri...jitahid kumaliza doseAhsante sana, samahani, nichemshe kiasi gani? Nusu lita, lita moja au?
Kama sitaoata duka la asili, (nipo kijijini) dozi ni siku ngapi? Mizizi nachimba mwenyewe.Inategemea na mizizi ulonayo...... ukienda duka la dawa za asili utapewa na maelezo vzuri...jitahid kumaliza dose
Tumia week moja tuKama sitaoata duka la asili, (nipo kijijini) dozi ni siku ngapi? Mizizi nachimba mwenyewe.
Mmmmh mi nimetumia Penadu nimepona ila nashangaa usawa wa kifua na kuvuta pumzi bado changamoto brooPole sana mkuu.
Penaduu ni balaa gongwa 10cc (5cc each tako) zimenipitia kwenye syphilis
Ukimaliza sindano na hizo madawa za vidonge basi naamin itakua poa tu. Pia jaribu kitumia mlonge kama ulivyoshauriwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hii ni KaswendeMmmmh mi nimetumia Penadu nimepona ila nashangaa usawa wa kifua na kuvuta pumzi bado changamoto broo
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app